Ushauri kwa mtu aliyepata F ya General studies anaweza kupata nafasi ya chuo

Ushauri kwa mtu aliyepata F ya General studies anaweza kupata nafasi ya chuo

wisely

Member
Joined
May 11, 2014
Posts
32
Reaction score
4
wana JF msaada wa ushauri kwa mtu aliyefanya mtihani mwaka 2012 na matokeo yake yakawa hivi geography D, History D, kiswahili E na GS kapata F anaweza chaguliwa kujiunga na Elimu ya chuo kikuu ?.
 
Bila was was mbona anapata chuo huyo!udsm ardhi hawezi kupata but udom,tumain,Sebastian kolowa,na vyuo vengine anapata bila wasiwasi
 
Mzumbe hautapata lakini UDSM UDOM IFM CBE MUCCOBS MAKUMIRA etc utapata mkuu bila shida kabisa.
 
mhhh! Hapa nahis kuna kaharufu kakuponda vyuo vingine na kusifia vyuo vingine ila we apply tu ndugu
 
Vyuo vya kata waweza pata na hizo marks zako za aibu.
 
Back
Top Bottom