...Inategemea anataka elimu au Cheti? Kama anataka cheti aende kwani kama alishaambiwa kwa hiyo tuition na maswali ya sapu yatatoka humo ina maana ameshaonyeshwa mtihani...kama anataka elimu asiende!!!!!!!! Kuelimika sio kufaulu mtihani tu!!!naomba ushauri kwa ajili ya mwanafunzi huyu.
Emefeli somo moja maarufu kwa kufelisha wanafunzi hapo chuoni kwao.
Mwalimu/ lecturer, amewaambia darasani kuwa atafanya tuituion kwa wale wenye kuhitaji, na maswali ya Sapu yatatoka maeneo hayo atakayofundisha.
Tution hiyo, kwa siku tano ada ni laki moja.
Sasa anajiuliza aende au asiende?
Je ni halali au si halali?
Atakuwa amevunja sheria, je mwalimu ana makosa?
naomba ushauri kwa ajili ya mwanafunzi huyu.
Emefeli somo moja maarufu kwa kufelisha wanafunzi hapo chuoni kwao.
Mwalimu/ lecturer, amewaambia darasani kuwa atafanya tuituion kwa wale wenye kuhitaji, na maswali ya Sapu yatatoka maeneo hayo atakayofundisha.
Tution hiyo, kwa siku tano ada ni laki moja.
Sasa anajiuliza aende au asiende?
Je ni halali au si halali?
Atakuwa amevunja sheria, je mwalimu ana makosa?
Who can afford to run will run, Buju cries out in "Untold Stories". But what about those who cant? They will have to stay.