naomba ushauri kwa ajili ya mwanafunzi huyu.
Emefeli somo moja maarufu kwa kufelisha wanafunzi hapo chuoni kwao.
Mwalimu/ lecturer, amewaambia darasani kuwa atafanya tuituion kwa wale wenye kuhitaji, na maswali ya Sapu yatatoka maeneo hayo atakayofundisha.
Tution hiyo, kwa siku tano ada ni laki moja.
Sasa anajiuliza aende au asiende?
Je ni halali au si halali?
Atakuwa amevunja sheria, je mwalimu ana makosa?