Tuwekee ushahidi mkuuHivi kwa nini wanaosimamia serikali na wakubwa wengi wanavyeti feki na PHD za mezani
Amejiweka zaidi kwenye propaganda baada ya kutwambia miradi mingapi inaendelea mpaka sasa changamoto tulizo nazo za kukatika kwa umme baada ya waziri atolee ufafanuzi yeye yuko busy na propagandaKweli kabisa. Hiyo nafasi ingemfaa sana.
Shaidi nyingi mshapewa haya na makonda unataka ushaidi ganiTuwekee ushahidi mkuu
Gentleman,Kwako Mheshimiwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, Nina ushauri Mmoja tu kwako. Naomba nikushauri ya kwamba tofautisha nafasi ya Uwaziri Mkuu na nafasi ya ukatibu mwenezi wa CCM.
Ushauri wangu ni kwamba Kuna kauli ambazo hutakiwi kuongea kwa nafasi uliyonayo ya Waziri Mkuu. Wewe ni kiranja wa Mawaziri wengine, inashangaza sana unapoongea jambo la ukakasi mbele ya umma.
Kwa mfano, Waziri Mkuu kusimama na kusema Kuna mtu alitumiwa billioni Tano kwenye Mpesa bila yeye kujua na kupewa maelekezo ni kauli ya uongo sana. Ni Mpesa Gani inaweza kupokea bilioni Tano kwa wakati Mmoja?. Na mpaka Leo huyo mtu hakuwahi kumatwa Wala kushtakiwa mahakamani.
Kwa Sasa una trend na kauli yako ya kwamba Kuna mtu mmemkamata amehaidiwa shilingi milioni mia akipeleka vijana kuuawa. Swali ni nani anayewaua hao vijana? Punguza hizi propaganda hazitakusaidia. Wewe ni Waziri Mkuu sio Katibu mwenezi wa CCM. Muachie propaganda Fares Burhani au Kenan Kihongosi.
Wewe ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo unwajibika kwa watanzania wote bila ubaguzi. Unapoleta propaganda ili kuwachafua wapinzani hasa CHADEMA unakosea sana. Ongea lugha za kuunganisha watu na kuleta watu pamoja. Kama Kuna shida Waite wenzako muongee sio kuchochea moto kwa kauli za uongo ambazo sio sahihi.
Nimalize kwa kusema unaboa sana na unakera sana kwa kauli zako, kama Kuna machafuko yatatokea wewe ndio utakuwa chanzo kwa kauli zako. Wananchi wametulia usiwachoche hasira zao kabisa. Hata October 29 watu waliingia mtaani baada ya kuona dhihaka za viongozi kama nyie. Kama utaendelea na ma propaganda yako hautafanikiwa utaanguka chini. Wako wapi akina ndugai, Tulia, Bashungwa waliojiona wamefika?. Tafakari sana.
wewe tuwekee hapa tujiridhisheShaidi nyingi mshapewa haya na makonda unataka ushaidi gani
Madelu ni BINGWA wa Propaganda za KICHUNGA NG'OMBE.Kwako Mheshimiwa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, Nina ushauri Mmoja tu kwako. Naomba nikushauri ya kwamba tofautisha nafasi ya Uwaziri Mkuu na nafasi ya ukatibu mwenezi wa CCM.
Ushauri wangu ni kwamba Kuna kauli ambazo hutakiwi kuongea kwa nafasi uliyonayo ya Waziri Mkuu. Wewe ni kiranja wa Mawaziri wengine, inashangaza sana unapoongea jambo la ukakasi mbele ya umma.
Kwa mfano, Waziri Mkuu kusimama na kusema Kuna mtu alitumiwa billioni Tano kwenye Mpesa bila yeye kujua na kupewa maelekezo ni kauli ya uongo sana. Ni Mpesa Gani inaweza kupokea bilioni Tano kwa wakati Mmoja?. Na mpaka Leo huyo mtu hakuwahi kumatwa Wala kushtakiwa mahakamani.
Kwa Sasa una trend na kauli yako ya kwamba Kuna mtu mmemkamata amehaidiwa shilingi milioni mia akipeleka vijana kuuawa. Swali ni nani anayewaua hao vijana? Punguza hizi propaganda hazitakusaidia. Wewe ni Waziri Mkuu sio Katibu mwenezi wa CCM. Muachie propaganda Fares Burhani au Kenan Kihongosi.
Wewe ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivyo unwajibika kwa watanzania wote bila ubaguzi. Unapoleta propaganda ili kuwachafua wapinzani hasa CHADEMA unakosea sana. Ongea lugha za kuunganisha watu na kuleta watu pamoja. Kama Kuna shida Waite wenzako muongee sio kuchochea moto kwa kauli za uongo ambazo sio sahihi.
Nimalize kwa kusema unaboa sana na unakera sana kwa kauli zako, kama Kuna machafuko yatatokea wewe ndio utakuwa chanzo kwa kauli zako. Wananchi wametulia usiwachoche hasira zao kabisa. Hata October 29 watu waliingia mtaani baada ya kuona dhihaka za viongozi kama nyie. Kama utaendelea na ma propaganda yako hautafanikiwa utaanguka chini. Wako wapi akina ndugai, Tulia, Bashungwa waliojiona wamefika?. Tafakari sana.
Yeye angejukita kwenye kusimamia Mawaziri sio propaganda za kisiasa.Amejiweka zaidi kwenye propaganda baada ya kutwambia miradi mingapi inaendelea mpaka sasa changamoto tulizo nazo za kukatika kwa umme baada ya waziri atolee ufafanuzi yeye yuko busy na propaganda
Wewe hujui unachoongea. Unadai raia mwema amekataa kurubuniwa wakati huo huo mwigulu anadai wamemkamata. Sasa raia mwema anakamatwaje?. Usipende kurukia Kila jambo.Gentleman,
unamkamataje mTanzania mzalendo kama huyo kwa mfano?,
Yaani raia mwema amekataa katukatu kurubuniwa na kubebwa ufala wa kifikra kwa ushawishi wa mabilioni ya fedha za vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi kuichoma nchi yake, na anajisalimisha kwako kizalendo kwa hiyari yake, na kukupatia taarifa kamili za uhakika kuhusu mipango ovu inayopangwa maadui wa Tanzania.
badala ya kumpatia hifadhi na kumtumia kupata taarifa zaidi, unamakamata, utakua na akili timamu kweli gentleman?