Ushauri kwa Mwigulu: Tofautisha Uwaziri Mkuu na Ukatibu mwenezi wa CCM

Nakumbuka kipindi hicho wamemtengenezea kesi mkurugezi wa ulinzi wa chadema kipindi hicho mh Rwakatale alijiapiza bungeni kwamba anaushahidi hata mbinguni anaweza kuutoa mpaka leo hajawahi kufika mbinguni madelu Ana siasa zankishamba Sana Wala hajaanza leo
 
Viongozi wetu wengi wana utoto mwingi sana hasa vijana.
 
Sasa wewe hata ukimwangalia mwigulu unaona yuko timamu kweli! !? Huyu kichwani ni mjinga sana ndio maana hata akili ya kubadili mtindo wa siasa zake za kizamani hana
 
Katelephone alikuwa na changamoto zake ila huyu madilu amezidi aiseee bora angebakia kule kule wizara ya fedha.
 
Hatujawahi kuwa na waziri mkuu bomu, chawa, na hovyo kama hili debe tupu. Maybe, ni kwa vile bomu huteuliwa na boomu.
 
Shaidi nyingi mshapewa haya na makonda unataka ushaidi gani
Unaruka ruka kama bisi.
Jenga hoja zako kisomi.
Issue mliyoulizwa inamhusu Mwigu
Baada ya kushindwa kuijibu unahamia kwa Makonda. Nyie watu mpoje.
 
Kwa mfano, Waziri Mkuu kusimama na kusema Kuna mtu alitumiwa billioni Tano kwenye Mpesa bila yeye kujua na kupewa maelekezo ni kauli ya uongo sana. Ni Mpesa Gani inaweza kupokea bilioni Tano kwa wakati Mmoja?. Na mpaka Leo huyo mtu hakuwahi kumatwa Wala kushtakiwa mahakamani.
 
Kila nikitaka kulazimisha moyo uamini Mwigulu-PhD ni Waziri Mkuu Roho nyingine inaniambia acha ujinga
 
Mwingulu hajawai kua smart hata siku moja niliwahi kusema Mwigulu anastahili nafasi ya katibu mwenezi wa chama sio uwaziri mkuu
Hamjamuelewa,yeye anapenda sana ukatibu uenezi kuliko uwaziri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…