Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
Habari wakubwa, kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada nafahamu kuna watu wanofanya programming humu ningependa tuweze kushare kwa pamoja iweze kutusaidia kwa ambao tunataka kuingia kwenye hii career.
Share experience yako kwenye hii career kwenye mazingira yetu ya Tanzania, Changamoto na jinsi tunaweza pambana nazo na jambo la mwisho ni ushauri. Pia ni upande upi unaweza kua ni hotcake kwa mazingira yetu kati ya software engineering, cyber security, IoT.
Unaweza kushare lolote kati ya hayo.