Ushauri kwa New Programmers

Ushauri kwa New Programmers

Step_Rocker

Senior Member
Joined
Aug 31, 2021
Posts
197
Reaction score
323
Habari wakubwa, kwanza poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada nafahamu kuna watu wanofanya programming humu ningependa tuweze kushare kwa pamoja iweze kutusaidia kwa ambao tunataka kuingia kwenye hii career.

Share experience yako kwenye hii career kwenye mazingira yetu ya Tanzania, Changamoto na jinsi tunaweza pambana nazo na jambo la mwisho ni ushauri. Pia ni upande upi unaweza kua ni hotcake kwa mazingira yetu kati ya software engineering, cyber security, IoT.

Unaweza kushare lolote kati ya hayo.
 
niko kwenye hii sekta hapa, wateja wangu ni wa nje, kwa Tz utakufa njaa wallahi
I make some sweet paycheck out of it
Aisee, unawapata vipi hao wateja wako. Na umejikita kwenye upande upi web programming, mobile application etc
 
Aisee, unawapata vipi hao wateja wako
wateja niliwapata Upwork, sasa ni wateja wa kudumu
Na umejikita kwenye upande upi web programming, mobile application etc
kwa IoT, inabidi uwe vizuri embedded (electronics na micro-controller kwa ujumla), hapa language ni assembly (siyo sana), C/C++(sanaaa), micro-Python na Python

then upande wa server, HTML,CSS,JS halafu PHP, MySQL, nodeJS

upande wa mobile dev. ni Dart
 
Back
Top Bottom