Kiukweli wananchi tumechoshwa Sana na Hawa watu wanaotanua barabarani na taa zao za rangirangi kwa Sasa imekuwa too much.
Kila muheshimiwa au gari la serikali asubuhi tunawahi maofisini wao wanaotanua wanataka wapishwe njia hii so sawa. Ni moja ya indication kwamba nchi yetu Ina corruption watu hawafuati Sheria yaani wao wanaotanua tuu barabarani na Kama ni kuwahi wangeamka mapema zaidi wakawahi kuliko kuleta usumbufu kwa raia walioko kwenye foleni.
Nadhani serikali inabidi iliangalie hili la watu wanaotanua barabarani wakitaka wapishwe, wengine ambulance hazina ulazima wanawasha vingora tuu