Chama chochote kitakachokuwa na sifa kinaingia kwenye ushirikiano huo. Kinaweza kuwa Chama kimoja cha upinzani au viwili au zaidi kutegemeana na utaratibu wa kisheria utakaowekwa. Hilo linaweza kufanyika hata kabla ya Katiba mpya. Litasaidia kujenga Umoja wa Kitaifa.Chadema haitashirikiana na Wauaji
Jicho la pili si muhimu? Mnaweza pia kuweka utaratibu wa kuunda Serikali ndogo. Hata Bungeni panakuwepo uwiano fulani hivyo mambo ya ubadhirifu yatathibitiwa maana kama ni wa upande wako wameiba wa upande mwingine hawatavumilia.Serikali za Umoja wa kitaifa ni za kipuuzi na ni za manufaa kwa viongozi wa kisiasa tu kupata nafasi kutafuna keki ya taifa na watawala. Inatakiwa Serikali yenye Maono, nia thabiti na vitendo vya kuhakikisha kodi na rasilimali za nchi zinasimamiwa ipasavyo kuleta maendeleo ya wananchi pamoja na usalama wao, ikiwepo serikali ya namna hiyo wala hautoona wananchi wakijishughulisha sana na mambo ya siasa wala vyama vya siasa.
Jicho la pili si muhimu? Mnaweza pia kuweka utaratibu wa kuunda Serikali ndogo. Hata Bungeni panakuwepo uwiano fulani hivyo mambo ya ubadhirifu yatathibitiwa maana kama ni wa upande wako wameiba wa upande mwingine hawatavumilia.
Chizi akishaingia sokoni haponi