Ushauri kwa Rais Samia: Kuliko kusitisha rasmi mchakato wa Katiba Mpya ni bora ungeuanzisha uendelee walau kwa muda mrefu

CCM ni wahuni tu.

Watu wameshindwa kuleta maendeleo kwa miaka sitini wakiwa madarakani leo eti walete maendeleo kwa miaka minne.

Ni punguani tu ndie atakubaliana na huu upuuzi
 
Tatzo katiba inadaiwa na viongozi wa siasa ndio maana hawajali, ili iwe msisitizo mpaka idaiwe na wananchi na kwa akili za wananchi navyoziona sioni hata hiyo dalili ya kuidani ndani ya miaka hamsini ijayo.

Kama leo ni 2021 kwenda 2025 pana miaka karibia minne hivi baada ya huo uchaguzi wa 2025 kwenda 2030 si ni karibia miaka hiyohiyo minne.
 
Uliandika kinyonge sana ndugu.

Bt msg was sent.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…