NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Waziri wa afya ameshatoa yake kuhusu shirika la Bima NHIF kushindwa kujiendesha na kuelemewa na mzigo. Muathirika mkubwa ni mwananchi wa kawaida kwasababu wafanyakazi na wanasiasa hawatokosa fedha za matibabu!
Ili kusaidia, fedha za posho za wanasiasa fyeka zote peleka kwenye madawa na vifaa tiba ili ki boost sekta ya afya, kwani wanasiasa hawawezi kufa kwa kukosa posho bali wananchi wanaweza kufa kwa kukosa bima ya afya na vifaa tiba!
Kama utashindwa hilo kwa kuogapa lawama toka kwa walamba asali. Teua mimi wizara ya fedha nikuonyeshe kazi halafu wewe utanawa mikono na lawama zote zielekezwe kwangu!
Hatuwezi ua wananchi na walipa kodi kisa walamba asali!
Nakukumbusha kwamba, "Rasimu ya Warioba irudi mezani sasa iwe Katiba mpya"