Ushauri kwa RC Makala juu ya wamachinga Dar es Salaam

Serikali imekuwa nyepesi sana. Hawa jamaa wanaweka vurugu tu kwenye mitaa. Huku Zenji tumewatimua Darajani na kisiwandui, wamepelekwa kibanda maiti. Yaani wanapanga vitu kwenye njia pakupita hamna. Walitaka kuleta ubishi wakajipeleka makao makuu ya CCM, walikula mabomu ya machozi saivi wapo kibanda maiti. Kazi kuharibu miji tu
Huo ndio utawala bora ili kurejesha law, order na mandhari ya jiji. RC Makala ameanza vzr. Yaelekea tulijikita kwa siasa za populist na kuifanya nchi isitawalike pindi "wamachinga" wakibughudhiwa matokeo yake njia za magari, watembea kwa miguu na mitalo imekuwa blocked. Nguvu kazi kubwa imeelekezwa ktk njia isiyokuwa endelevu na staha.
 
Kila mtu anaenda mjini kuuza heleni,shambani atabaki nani?
Ni kweli wengi wanazuga tu mjini huku wakichomoa hela kwenye mifuko, wapewe tangazo waondoke barabarani na watakao kaidi wapelekwe Polisi na magari ya jeshi yawarudishe makwao vijijini waende wakadai maendeleo vijijini nao wawe mjini siyo kujaza watu wengi mjini bila kazi za kueleweka mwisho wanatushia amani kwamba wataiba sasa hizo ni akili kweli za kuwaza kuiba.
 
Muhimu ni mama samia ajiandae tu kua na upinzani na Hawa watu ambao ni wengi na wavuja jasho haswaaaa ktk utafutaji,Hawa si wale wa kupitisha fedha mabilioni kwa ajili ya kazi maalumu au vikao vya board vyenye maposho ya 600million na kubadili mradi wa 100million.

Ajipe muda mama ajiridhishe maana mbwembwe Zina mwisho wake
Hakuna kitu kama hicho, wamachinga ni vijana wavivu wasiopenda kukaa vijijini na kulima na kujenga vijiji vyao na hao ndo hawataki vijijini kupelekwe maendeleo Ili waje kuzuga mjini, warudi vijijini wakajijenge upya maana maisha siyo rahisi kihivyo kuuza pipi kwa kijana mwenye nguvu akitegemea kuwa tajiri mwisho wanaishia kuwa wezi.
 
Hakuna lolote hapo, Machinga muda wa kuondolewa mbele ya biashara za walipa kodi umefika,Nchi gani hii mifumo haifahamiki kama ni ya Kibeberu/Kijamaa.
 
Nimeona taarifa kwamba unataka uwapange wamachinga. Ni kitu kizuri Sana na kinatakiwa kiungwe mkono na kila mtu.

Ushauri wangu; Usitumie maneno ya mitandao kufanya Jambo hili. Tumia mda wako wote kutafuta ushauri wa wamachinga kwanza. Huku kwenye mitandao utapotoshwa.

Kuna watu Wana hasira na wamachinga kisa tu wako mbele ya maduka yao na wengine wanachonganishi zidi ya wamachinga na serikali ya CCM. Wengine ni Chuki zidi ya machinga wa Hayati JPM.

Faida za hao machinga ni nyingi mno. Na hapa nataja chache.

1. Serikali iendelee kutafuta njia rahisi ya kukusanya kodi kutoka kwao.

2. Hawa wanasogeza huduma karibu na mtumiaji na hivyo kufanya mzunguko wa biashara kuwa mkubwa.

3. Hawa wanapunguza vibaka mtaani. Pigia msitari hili kisha fanya uchunguzi. Asilimia kubwa ya Hawa watu Wana kipato kidogo, wako tayari kuiba ama kufa wakitafuta kipato. Jua lao mvua yao. Bila hii Kazi Hawa Ndio mateja na vibaka mtaani.

4. Wanaondoa misongo ya mawazo na huzuni kwenye maisha yao.

Chonde chonde usikurupuke. Utatujazia vibaka mtaani.
Wacha wajae mtaani wakutane na Muliro au Wambura wakapimzike Segerea. Lakini haiwezekani Jiji liwe namna hiyo. Magufuli aliharibu hii nchi sana

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Nimeona taarifa kwamba unataka uwapange wamachinga. Ni kitu kizuri Sana na kinatakiwa kiungwe mkono na kila mtu.

Ushauri wangu; Usitumie maneno ya mitandao kufanya Jambo hili. Tumia mda wako wote kutafuta ushauri wa wamachinga kwanza. Huku kwenye mitandao utapotoshwa.

Kuna watu Wana hasira na wamachinga kisa tu wako mbele ya maduka yao na wengine wanachonganishi zidi ya wamachinga na serikali ya CCM. Wengine ni Chuki zidi ya machinga wa Hayati JPM.

Faida za hao machinga ni nyingi mno. Na hapa nataja chache.

1. Serikali iendelee kutafuta njia rahisi ya kukusanya kodi kutoka kwao.

2. Hawa wanasogeza huduma karibu na mtumiaji na hivyo kufanya mzunguko wa biashara kuwa mkubwa.

3. Hawa wanapunguza vibaka mtaani. Pigia msitari hili kisha fanya uchunguzi. Asilimia kubwa ya Hawa watu Wana kipato kidogo, wako tayari kuiba ama kufa wakitafuta kipato. Jua lao mvua yao. Bila hii Kazi Hawa Ndio mateja na vibaka mtaani.

4. Wanaondoa misongo ya mawazo na huzuni kwenye maisha yao.

Chonde chonde usikurupuke. Utatujazia vibaka mtaani.
Machinga kwa sasa hawasaidiki na chochote wanasogeza muda ili wazeeke, wanaingiza hasara kwa serikali kwani wanaharibu miundombinu iliyojengwa kwa pesa nyingi na kuchafua kila mahali, serikali haipati kodi,
1:Suluhisho ni serikali irekebishe sheria za kodi,feza na uwekezaji, ili wawekezaji wawekeza ili kutoa ajira
2. Serikali na sekta binafsi zijenge majengo makubwa ambayo wafanya biashara wadogo na wakubwa wataweza kufanyia biashara zao
 
Nimeona taarifa kwamba unataka uwapange wamachinga. Ni kitu kizuri Sana na kinatakiwa kiungwe mkono na kila mtu.

Ushauri wangu; Usitumie maneno ya mitandao kufanya Jambo hili. Tumia mda wako wote kutafuta ushauri wa wamachinga kwanza. Huku kwenye mitandao utapotoshwa.

Kuna watu Wana hasira na wamachinga kisa tu wako mbele ya maduka yao na wengine wanachonganishi zidi ya wamachinga na serikali ya CCM. Wengine ni Chuki zidi ya machinga wa Hayati JPM.

Faida za hao machinga ni nyingi mno. Na hapa nataja chache.

1. Serikali iendelee kutafuta njia rahisi ya kukusanya kodi kutoka kwao.

2. Hawa wanasogeza huduma karibu na mtumiaji na hivyo kufanya mzunguko wa biashara kuwa mkubwa.

3. Hawa wanapunguza vibaka mtaani. Pigia msitari hili kisha fanya uchunguzi. Asilimia kubwa ya Hawa watu Wana kipato kidogo, wako tayari kuiba ama kufa wakitafuta kipato. Jua lao mvua yao. Bila hii Kazi Hawa Ndio mateja na vibaka mtaani.

4. Wanaondoa misongo ya mawazo na huzuni kwenye maisha yao.

Chonde chonde usikurupuke. Utatujazia vibaka mtaani.
Ushauri mzuri sana..
 
Mtu aliyevunja sheria halafu unakaa naye mnashauriana!!! Uliiona wapi hii mkuu? Ukusanye kodi kwa mtu anayevunja sheria! Wanasogeza huduma, kwani maduka hayapo? Huduma gani barabarani? Jana nilikoswakoswa kukanyagwa na gari! Mbona vibaka wameongezeka! pita Mtaa wa Congo ukae kihasara kama hutaingizwa mjini! Msongo wa mawazo hauondolewi kwa kuvunja sheria! Mwendazake alikosea sana kuruhusu hawa wavunje sheria.
 
Wamevunja Sheria ipi?
 
Wamevunja Sheria ipi?
Sheria ya kijiji ya kuuza bidhaa ovyo barabarani. Jiji wanasheria zao ambazo awamu ya nne ilifumbia macho kwa sababu ya headmaster. Ndiyo maana walikuwa wanafukuzwa na wakikamatwa wanaenda mahakamani na kuhukumiwa faini au jela.
 
Hakuna cha mazungumzo swala ni kutimua hao wanyonge, warudi wakalime mahindi.
Si ajabu na wewe ni mganga njaa tu hapo ulipo huna issue yoyote ya maana halafu unatusema vibaya sisi machinga. Kama unaona kurudi kijijini ndio suluhisho basi anza wewe kurudi huko kijijini kwenu Ifwekenya na sisi tutafuata.
 
Bora mteg
It will backfire badly, busara itumike kupata muafaka na hao jamaa , mwendazake alitega mtego kwenye hilo kundi,.
Bora mtego waweza kukunasa tu,ila no bomu linalohesabu kulipuka,mtakao kutwa ni mliopo,ila waliodanganyika kuwa kule kulikuwa kupendwa wajipange upya na sawa sawa.
 
Back
Top Bottom