Ushauri: Kwa sababu kuna uhalifu mkubwa wa kutumia silaha, jeshi la polisi liandae wadunguaji makini " sharpshooters" ili kumaliza majambazi.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Majambazi wanalitesa sana taifa letu.

Mtu anaye kuwa na ushahidi wa kumiliki silaha haramu na kujifanya anapambana na polisi basi hao sharp shooters wafanye kweli kabla hajavuta triger awe amekula kama kumi.

Taifa linatakiwa kuwa huru na watu wawe huru kufanya ujasiriamali na wala sio kuwaza juu ya usalama wao.

Sharp shooters wapewe mafunzo na kisha waje kulisadia taifa lao kukabiliana na uhalifu.
 
Hiko CCM mnawaza kuua tu,pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom