ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Yaani Hii Nchi hata waliokuwa wanapanga Miji ni wapuuzi sana,Kuna maeneo mengi sana ni hatarishi Kwa maisha ya watu ila yamefanywa kuwa sehemu za makazi.
Mfano ni Bonde la Ziwa Rukwa ambako kuna Vijijini vingi sana lakini nature ya eneo ni Eneo oevu na Lina mito Mingi,mashamba ya mpunga nk.
Maeneo kama hayo hayafai kabisa Kwa makazi ya watu, ukiacha Mafuriko ya mara Kwa mara yanayokumba watu lakini ni very expensive kuhudumiwa jamii kwenye maeneo ya hivyo maana hayafikiki kirahisi.
Kila mwaka Kuna Mafuriko,ona Sasa Watoto 7 wamesombwa na maji, mambo haya Hadi lini?
Serikali hamjachelewa, futa Vijijini huko wapenzi watu viwanja Ukanda wa Juu Ili huko Bondeni yabakie maeneo ya mashamba Ili yaendelezwe vizuri Kwa Kilimo Cha uhakika.