Ushauri kwa Serikali juu ya matokeo haya yaliyotoka, FTNA

Ushauri kwa Serikali juu ya matokeo haya yaliyotoka, FTNA

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Wadau wa Elimu na Wazazi.
Mtokeo ya Dara's la nne na kidato Cha pili yametangazwa leo.

Napenda kulipongeza Baraza La Mitihani kwani kiukweli kabisa mwaka huu yamkuja matokeo halisi sawa na watoto tunavyowafahamu huku mashuleni na mtaani.
Naomba niseme hivi...

Kidato Cha pili wanfunzi wengi sana wamekuwa referred, maana yake wamefeli na watapaswa kukariri darasa. Hivyo ndivyo ilivyo Kama utaratibu.

Naishauri Serikali Kama ifuatavyo.. hao wanafuzi waliokuwa referred hakutakuwa na vyumba vya kuwaweka kwani vyumba walivyokuwa wakivitumia vinaenda kuchukulia na waliokuwa kidato Cha kwanza.

Hivyo Basi Hawa wanafuzi wasiendelee na Elimu hii ya sekondari la waende Katika mikondo mbadala...
Mtajua kwa kuwapelekea iwe VETA, Kilimo au popote. Hawa ndo wapelekwe kwenye mikondo hiyo ya Elimu Ujuzi. Hii itasaidia kutopoteza muda na fedha kwa watu walioshindwa..
 
Mathalani shule hii
Screenshot_20240107-194140_1.jpg

Wanfunzi 120 wako referred. Hawa watabaki sekondari wakifanya Nini. Na hivyo vyumba vya kuwa hifadhi viko wapi.
Maana kiukweli Hawa watahifadhiwa tu. Hakuna kitu kitaendelea hapo...
 
Kwan mkuu si watarudia kusoma form 2.
Warudie ili iwe Nini!??
Walimu wa kuwafundisha wako wapi??
Hizo hela za kuwalipia Mara mbilimbili serikali inazo..!??
 
Waendelee na utaratibu huu wa kawaida nadhani mtaala mpya utakuja kuleta hili suluhisho ila kwa Sasa pole kwao
Kuna shule zimerudisha 250+
 
Waendelee na utaratibu huu wa kawaida nadhani mtaala mpya utakuja kuleta hili suluhisho ila kwa Sasa pole kwao
Kuna shule zimerudisha 250+
Aisee..!!
 
Warudie ili iwe Nini!??
Walimu wa kuwafundisha wako wapi??
Hizo hela za kuwalipia Mara mbilimbili serikali inazo..!??
Utaratibu si akifail anarudia.
Na iyo refered inamanisha nn cjaielewa.
 
Wadau wa Elimu na Wazazi.
Mtokeo ya Dara's la nne na kidato Cha pili yametangazwa leo.

Napenda kulipongeza Baraza La Mitihani kwani kiukweli kabisa mwaka huu yamkuja matokeo halisi sawa na watoto tunavyowafahamu huku mashuleni na mtaani.
Naomba niseme hivi...
Kidato Cha pili wanfunzi wengi sana wamekuwa referred, maana yake wamefeli na watapaswa kukariri darasa. Hivyo ndivyo ilivyo Kama utaratibu.
Naishauri serikali Kama ifuatavyo.. hao wanafuzi waliokuwa referred hakutakuwa na vyumba vya kuwaweka kwani vyumba walivyokuwa wakivitumia vinaenda kuchukulia na waliokuwa kidato Cha kwanza.
Hivyo Basi Hawa wanafuzi wasiendelee na Elimu hii ya sekondari la waende Katika mikondo mbadala...
Mtajua kwa kuwapelekea iwe VETA , Kilimo au popote. Hawa ndo wapelekwe kwenye mikondo hiyo ya Elimu Ujuzi. Hii itasaidia kutopoteza muda na fedha kwa watu walioshindwa..
Sikuungi mkono, mbumbumbu ndo wakashike ufundi wakati vitu vinatengenezwa na ma genius? Kweli mbumbumbu ndo akaongoze kilimo ambacho ni uti wa mgongo wa taifa? Israel kuna jangwa ila wataalam wa kilimo wanalisha dunia. Sisi ndo sekta ya ma mbumbumbu.
 
Kazi za kutumia nguvu hakika ndio Mahala pao
 
Hao ambao wamekuwa referred maana yake wamepewa referral kwenda veta.
 
Kama Serikali iko serious na Elimu ujuzi..
Div 4 wote wangeenda kwenye mikondo hiyo..

Div 1 , 2 na 3 ndo waendelee ku crack na masomo ya darasani..
 
Back
Top Bottom