Ushauri kwa Serikali kuhusu Ada ya Minara ya simu

Ushauri kwa Serikali kuhusu Ada ya Minara ya simu

Wambugani

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2007
Posts
1,757
Reaction score
277
Hivi kwa nini serikali isiingilie viwango vya kodi ya pango kwa minara kwa simu? Inaonekana kodi kwenye maeneo mbalimbali haina zinatofautiana na serikali inakosa hata kodi kwa vile wenye maeneo kulipwa kodi ya chini sana.
Inafaa serikali ifanye 'standardization'
.
 
sku hizi hawalipi kodi, wananunua ardhi kisha mnara unakaa....unaongelea mambo ya 1994
 
Back
Top Bottom