Wambugani
JF-Expert Member
- Dec 8, 2007
- 1,757
- 277
Hivi kwa nini serikali isiingilie viwango vya kodi ya pango kwa minara kwa simu? Inaonekana kodi kwenye maeneo mbalimbali haina zinatofautiana na serikali inakosa hata kodi kwa vile wenye maeneo kulipwa kodi ya chini sana.
Inafaa serikali ifanye 'standardization'.
Inafaa serikali ifanye 'standardization'.