Ushauri kwa Serikali kuhusu Bima

Ushauri kwa Serikali kuhusu Bima

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
1,550
Reaction score
1,742
Sisi wamiliki wa vyombo vya moto, tumekuwa wazito sana kulipia vyombo vyetu Bima(third party).
Hasa Mikoani.

Ushauri:
Kama ilivyo kwa iliyokuwa Road License, third party iingizwe kwenye mafuta, hii itasaidia sana.
1) Serikali itaachana na mambo ya Agency
2) Haitawaumiza walipaji (they won't feel it)
3) Waathirika wa accidents watalipwa bila usumbufu, nk
 
Back
Top Bottom