The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
KimaSerikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima..
Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya ,Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk..
Aidha kutakuwa na vifurushi vya Bima na mtu atalazimika kuchangia pesa kwa lumpsum kiwango atakachochagua..
Sasa binafsi naona hiyo italeta usumbufu Sana na kufanya bima isiwe effective..
Naishauri Serikali iunde Bodi ya Kusimamia Bima ya Afya na iwe na chanzo chake Cha mapato ambacho kiwe ni tozo zote za banks na za miamala ya simu Ili kupata pesa badala ya kuchangia kwa lumpsum..
Chukulia bima ya 30,000 au 50,400 imeshindikana kuoatikana sembuse hiyo ya kuchangia?
Tozo zirejeshwe kwa ajili ya Bima ya Afya.
Waumie wafanya miamala ya mara kwa mara we ukafaidike na maumivu ya wengine kupata bima? Kuna watu mwaka mzima kafanya muamala wa pesa hauzidi mara 10 tu, mwingine kwa mwezi tu hata mara 5+. Hebu wawe na strategies za kila mnufaika kuona anawajibika na ulipaji wake.Serikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima..
Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya ,Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk..
Aidha kutakuwa na vifurushi vya Bima na mtu atalazimika kuchangia pesa kwa lumpsum kiwango atakachochagua..
Sasa binafsi naona hiyo italeta usumbufu Sana na kufanya bima isiwe effective..
Naishauri Serikali iunde Bodi ya Kusimamia Bima ya Afya na iwe na chanzo chake Cha mapato ambacho kiwe ni tozo zote za banks na za miamala ya simu Ili kupata pesa badala ya kuchangia kwa lumpsum..
Chukulia bima ya 30,000 au 50,400 imeshindikana kuoatikana sembuse hiyo ya kuchangia?
Tozo zirejeshwe kwa ajili ya Bima ya Afya.
Ujinga mtupu! Hapo ndiyo umefikia upeo wako wa kufikiri?Serikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima.
Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya, Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk.
Aidha kutakuwa na vifurushi vya Bima na mtu atalazimika kuchangia pesa kwa lumpsum kiwango atakachochagua.
Sasa binafsi naona hiyo italeta usumbufu Sana na kufanya bima isiwe effective.
Naishauri Serikali iunde Bodi ya Kusimamia Bima ya Afya na iwe na chanzo chake cha mapato ambacho kiwe ni tozo zote za banks na za miamala ya simu Ili kupata pesa badala ya kuchangia kwa lump sum.
Chukulia bima ya 30,000 au 50,400 imeshindikana kuoatikana sembuse hiyo ya kuchangia?
Tozo zirejeshwe kwa ajili ya Bima ya Afya.
Serikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima.
Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya, Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk.
Aidha kutakuwa na vifurushi vya Bima na mtu atalazimika kuchangia pesa kwa lumpsum kiwango atakachochagua.
Sasa binafsi naona hiyo italeta usumbufu Sana na kufanya bima isiwe effective.
Naishauri Serikali iunde Bodi ya Kusimamia Bima ya Afya na iwe na chanzo chake cha mapato ambacho kiwe ni tozo zote za banks na za miamala ya simu Ili kupata pesa badala ya kuchangia kwa lump sum.
Chukulia bima ya 30,000 au 50,400 imeshindikana kuoatikana sembuse hiyo ya kuchangia?
Tozo zirejeshwe kwa ajili ya Bima ya Afya.
Sasa kwa wale ambao hawatumii bank na hawafanyi miamala watakuwa wanalipa vipi? Na ikumbukwe kwenye matumizi ya miamala ya simu na bank kila mtu ana matumizi yake!
Kiufupi hoja yako ni kwamba serikali higharamie swala la bima ya afya kwa wote ...
💯watu wamekaririshwa Tozo hadi wamesahau kuwa kazi ya Kodi tunayolipa ya VAT, PAYE, corporate taxes zote kazi zake ni hizo za kuhudumia watu kwny maeneo mbali mbali
utaskia hiki na hiki ni matokeo ya Tozo…jee kodi zile sijui with holding taxes huwa ndio za kuendeshea vikao na kununua ma v8 na tozo ndo za kusimangia wa Tz?
Mbaya zaidi huyo wa anaikatwa kapambana pekee yake na kupata bima kwa 1.5m halafu uje umuongezee tena tozo kwa ajili ya mvivu flani aliyopo pale kijijini kutwa nzima kubetiWe bang
Waumie wafanya miamala ya mara kwa mara we ukafaidike na maumivu ya wengine kupata bima? Kuna watu mwaka mzima kafanya muamala wa pesa hauzidi mara 10 tu, mwingine kwa mwezi tu hata mara 5+. Hebu wawe na strategies za kila mnufaika kuona anawajibika na ulipaji wake.
Aisee mimi nashauri Serikali iachane na mambo ya elimu bure, kila mtu asomeshe mtoto wake aliyezaa labda kwa zile familia masikini sana zilizopo kwenye tasaf
Hiyo hela itakayookolewa itumike kutoa bima ya afya kwa wote
Ndio Kwa sababu anakatwa ni pesa ya serikali hiyo lakini pia sheria ya bima itabadilika kwamba na mwajiri atachangia sawa .Mbaya zaidi huyo wa anaikatwa kapambana pekee yake na kupata bima kwa 1.5m halafu uje umuongezee tena tozo kwa ajili ya mvivu flani aliyopo pale kijijini kutwa nzima kubeti
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Tozo ni muhimu sana kwa ajili ya Bima maana hata ukibisha na kupiga ngumi ukuta lazima utalipa Bima utake au usitake.Hilo lijamaa litoa post linakurupukaga kupost mautumbo tu, nahisi litakuwa ni mmoja wapo wa yale majitu ya hovyo yaliotajwa Kwenye ile ripoti ya twaweza
Kuna mtu asiyefanya miamala kwenye simu? Watalipiwa na wengine kama ilivyo kwa watumishi na wategemezi au mtu mwaka mzima hajaenda hospital lakini anakatwa.Sasa kwa wale ambao hawatumii bank na hawafanyi miamala watakuwa wanalipa vipi? Na ikumbukwe kwenye matumizi ya miamala ya simu na bank kila mtu ana matumizi yake!
Kiufupi hoja yako ni kwamba serikali higharamie swala la bima ya afya kwa wote ...