Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Watake radhi unaowasema!Kwao la maana ni tozo. Wanataka pesa. Umuhimu wa maisha ya watu kwao si suala.
Watake radhi unaowasema!
Ni wazo zuri. Lakini watasema una data ku-suport statement yako kwamba wanaokufa baada ya chanjo wote walikuwa tayari wameambukizwa?Huu ni ushauri mkubwa kwa serikali:
Kitaalamu chanjo inatakiwa uchanjwe kama hauna vimelea vya ugonjwa husika.
Sasa iweje watu wanaenda wanachoma chanjo tu bila kujua status zao? Je, Serikali hamuoni kuwa hili ni tatizo?
Hata vifo vinavyotokea kwa walichoma chanjo vinachangiwa na tatizo hili la kumchanja mtu bila kumpima kama ana CORONA au hana.
Naiomba serikali sikivu ya Mama iangalie hili! watu wanakufa sana na hii ndio sababu kuu.
sasa utamchanjaje mtu hujui status yakeNi wazo zuri. Lakini watasema una data ku-suport statement yako kwamba wanaokufa baada ya chanjo wote walikuwa tayari wameambukizwa?
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
Ndo maana wengine tunaona acha wachanjane na makadi sijui makitambulisho wapeane sisi tunasubiri tupimwe kwanza kuhua Hali zetu! Mtuu unaenda chanja wakati mapafu yashaanza kushughulikiwasasa utamchanjaje mtu hujui status yake