Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,583
- 42,992
Naishauri serikali isifungue shule TAREHE 6/7/2026 iache hii wiki ipitie hakuna chakupoteza.
Wiki hii mpaka TAREHE ya hayo maandamano ni kipindi Tete kiusalama serikali isilazimishe unnecessary movements ni Bora makundi nyeti na maalumu kama ya wanafuñzi yaachwe yatulie nyumbani.
Kama kutatokea changamoto za usafiri Kwa wanafunzi wanaoenda mashuleni nchi nzima itakuwa vigumu kudhibiti mihemko na purukushani kwenye taifa.