Ushauri kwa serikali. Na wakati wao wanatafakari nasi tuendelee kupaza sauti

Ushauri kwa serikali. Na wakati wao wanatafakari nasi tuendelee kupaza sauti

Michael mbano

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2022
Posts
820
Reaction score
570
Habari ndg wanajf.

Napenda kuishauri serikali ilichukulie umuhimu hili jambo ipunguze mishahara ya wabunge hadi kufika milion 5. Pesa ya mafuta na service ibaki palepale ila mafuta na hela ya service iwe inakaguliwa kama imetumika ipasavyo.

Pia ile ya mfuko wa jimbo ni vema wakaongezwa watu ktk maamuzi ili kupunguza mamlaka makubwa ya mbunge katika hela ile. Pesa nyingine iliyopunguzwa iende kuongeza kasi ya miradi ya maendeleo.

Inauma mwl na watumishi wengine wenye mishahara midogo kodi kibao maskini!.Halafu tuliyemchaguwa akatuwakilishe aishi kifalme halafu sisi mabosi wake tunateseka huku. Tena akija kwenye mkutano ktk moja ya mtaa wananchi wamwogope yeye badala ya yeye kunyenyekea wananchi.
 
Back
Top Bottom