safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Naishauri Serikali yangu ambayo ina lengo kubwa la kuinua viwanda na biashara katika hasa suala hili la cement.
Naomba Serikali isiingilie bei na kuwapangia wauzaji wauze kwa bei fulani na bei fulani, hii naona kama inarudisha nyuma kidogo.
Acha watu wanunue kila mmoja auze kwa bei yake anayoitaka maadamu tu hakuna mtu anaelimbikiza kwa kununua kwa wingi na kuficha ili baadae iwe adimu aje kuuza kwa bei ya juu.
Kila mtu ananunua na inapatikana cement maeneo mbalimbali sana,huku kupanda bei ni maana yake mahitaji yake yamekuwa makubwa sana watu wanahitania cement kwa wingi wafanyie mambo yao.
Kwa kuwa kuna wauzaji wengi basi naomba kila mtu auze kwa bei yake,huyu akiuza bei juu ataenda kwingine.
Maisha yanapanda,gharama zinazidi,hali za watu zinabadilika hivyo bei ya cement ya mwaka jana au juzi basi isilazimishwe iwe sawa na bei ya leo.
Mfanyabiashara wa baiskeli anapouza baiskeli anauza kwa bei ambayo anaona yeye itamkidhi kuendesha maisha,hivyo hivyo kwenye cement watu wanauza kwa ajili ya kujipatia faida wao wenyewe na kuendesha maisha,kupanga bei ni kumpangia mahitaji muuzaje.
Naomba Serikali iendelee kuboresha maisha kwa kuwawezesha watu na kuwapa urahisi wa kumudu gharama za maisha zinavyoenda,sio kushusha bei za wauzaji.
Tukumbuke kuwa huyu muuzaji nae ni mtanzania,akiuza kwa bei ya juu nae anafaidika,akiuza kwa bei ya chini anaefaidika ni mnunuaji.
Hivyo katika cement pia mtanzania muuzaji anafaidika pia.
Kwa hiyo bidhaa ikipanda bei maana yake wanaohitaji ni wengi na kwa kuwa wauzaji ni wengi basi naomba serikali sipangie bei wauzaji.