Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

Nguruwe wa Lumumba huna akili hata kiduchu
 
Rais na serikali wajikite katika kuwaletea watanzania maendeleo. Hao watukanaji wanajidhalilisha wenyewe. Sisi tunaonesha nini serikali imefanya. Pia zipo sheria, kanuni na taratibu za kushughulikia watu hao
 
Ngoja lifanyiwe kazi. Nadhani tutaelewana tu. Ni kifungu kipi cha sheria kinakuruhusu wewe kumdhihaki Rais wetu, ni kifungu kipi kinakuruhusu wewe kuisema vibaya nchi yetu huko ughaibuni uliko

Unaumiza nafsi yako bure tu ndugu....

Kama unafanya "biashara zako" kweli kama usemavyo, basi nakushauri jitulize fanya kazi zako....

Ni kwa sababu, kamwe huwezi kumdhibiti binadamu kwa sheria yoyote...

Binadamu ni kiumbe very unique & complicated. Ndiyo maana hata Rais wako huyu hana utu, mdhalilishaji na mbinafsi kupindukia....

Kwa hiyo hao wakinyang'anywa passport/hati za kusafiri ili iweje? Upewe wewe zote? Sababu hasa ni nini?

Kumsema Rais vibaya? Kumdhalilisha Rais? Kuidhalilisha nchi? Kuisema nchi vibaya?...

Una kipimo gani ili kupima haya?

Tulia ndugu. Fanya biashara zako. Acha kuumiza kichwa huku kichwani ukiwa zero, unawaza tumbo lako...
 
Binadamu anazibitiwa mkuu, mbona wachina na wakorea wamezibitiwa. Sema wewe ndio huwezi zibitiwa ili tukutafutie chanjo
 
Rais kamuozesha mama yake mzazi kwa jogoo mmoja.

NB: umesahau kuweka namba ya simu
 
Mtu mzima HOVYOOOOOO Mxciuuuuuuuuuuuuu

 
Rais mwenyewe huyu anayepiga makelele na kufokafoka??
 
Takataka, muabudu Mungu usiabudu mtu kwani hiyo ni ibada ya sanamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…