Gari zinaingia stand haijalishi inaanzia wapi lazima iingie stand ilipe ela wanaoshuka washuke ndipo iendelee na safari. Inasaidia raia wanaoishi huko na mizigo kuwasogeza mimi napongeza wamiliki wa mabasi waendelee kwa mwendo huo huoBaada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la kuengesha magari kwa kulipia au tutafute mwekezaji wa kiwanda kama ilivyo kawaida yetu.
kwahiyo matakwa yako ni yapi?Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la kuengesha magari kwa kulipia au tutafute mwekezaji wa kiwanda kama ilivyo kawaida yetu.
Mbona utaratibu mzuri tu! Mabasi yote yanayoingia Dar na kutoka yanapita pale shida iko wapi? Ulitaka abiria wa Ubungo, Kinondoni, Ilala washukie Mbezi halafu waendeje makwao?Baada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la kuengesha magari kwa kulipia au tutafute mwekezaji wa kiwanda kama ilivyo kawaida yetu.
Mzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.Gari zinaingia stand haijalishi inaanzia wapi lazima iingie stand ilipe ela wanaoshuka washuke ndipo iendelee na safari. Inasaidia raia wanaoishi huko na mizigo kuwasogeza mimi napongeza wamiliki wa mabasi waendelee kwa mwendo huo huo
Mzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.Mbona utaratibu mzuri tu! Mabasi yote yanayoingia Dar na kutoka yanapita pale shida iko wapi? Ulitaka abiria wa Ubungo, Kinondoni, Ilala washukie Mbezi halafu waendeje makwao?
So basi linaenda mbangara au linaanzia mbagara lisiwabebe abiria liwaache magufuli. Mbona unataka kuleta solution ya serikali ile ya watu wanachanganya petroli na.mafta ya taa, serikali ikaja na soln mafta ya taa yawe bei ghali kuliko petroli wakat wanaotumia mafta ya taa zaidi ni wenye kipato cha chiniMzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.
Swala la abiri ni utaratibu na mpangilio tu, watu watafata, thus why ujaona ndege na treni kwenye makazi ya watu, na abiria wanafata usafiri ulipo.
Sasa sababu za msingi za kuhamisha stand ya mabus ubungo ilikua ni nini?
Ubungo palihamishwa kwa sababu palipatiwa matumizi mengine! Pale sasa hivi wanajenga business park. Hivi ulishashuhudia usumbufu uliopo kama abiria wote wangeshukia Mbezi?Mzee mji unaharibika, ushapita shekilango au Urafiki hivi karibuni.
Swala la abiri ni utaratibu na mpangilio tu, watu watafata, thus why ujaona ndege na treni kwenye makazi ya watu, na abiria wanafata usafiri ulipo.
Sasa sababu za msingi za kuhamisha stand ya mabus ubungo ilikua ni nini?
Kinachokusumbua wewe niBaada ya Serikali kupitia pesa za walipa kodi kuweza kujenga stand kubwa ya mabus ya magufuli mbezi mwisho, na pia Serikali tumehamua kwa makusudi shughuli zote za mabus na abiria kuruhusu zifanyike Urafiki/shekilango, ifike hatua sasa tubadilishe matumizi ya Stand ya Bus na iwe Soko, eneo la kuengesha magari kwa kulipia au tutafute mwekezaji wa kiwanda kama ilivyo kawaida yetu.
Unachoongea hakiendani na uhalisia, iasue sio kupanda na kushukia.Kinachokusumbua wewe ni
1. Roho mbaya
2. Maujinga ya Legacy
Kodi au tozo zote zinalipwa kama kawaida maana mabasi yanaingia kila yatokapo na yaingiapo Dar. Kuna ubaya gani abiria anaekaa kigamboni anatoka kigoma na basi linashusha magufuli kisha linaenda kulala kigamboni akaenda nalo? Au unataka huyu abiria akodi tax kutoka kigamboni kwenda kulipandia basi magufuli ambalo nalo lililala kigamboni na kuanzia safari pale?
Jifunze kuwa flexible na kuendana na hali halisi. Epuka kukaririshwa maishu hata kama hayana tija
Hapana, matumizi yalikuja baada ya kuhamishwa stand ndio maana wazo la kwanza ilitakiwa iwe stand kubwa ya Mwendokasi badae ikapatikana hiyo business park.Ubungo palihamishwa kwa sababu palipatiwa matumizi mengine! Pale sasa hivi wanajenga business park. Hivi ulishashuhudia usumbufu uliopo kama abiria wote wangeshukia Mbezi?
mabasi yote yalazimishwe kuingia pale na yatoe tozo ya pale. stand imejengwa kwa garama kubwa na imetuheshimisha sana hata nje ya nchi halafu muitelekeze tena?Bus zote zina ratiba ya kupandia popote pale linapoanzia huko linapolala na ratiba ya kutoka Magfuli stand huna hoja roho mbaya...
Na hapa ndio ugomvi wako mkubwa ulipo mkuuStand haitumiki kama ilivyokusudiwa, ungeenda hapo imepoa kabisa, hakuna business activities kabisa.