USHAURI KWA SERIKALI YA MKOA WA DAR ES SALAAM KUHUSU KUBADILISHA MATUMIZI KWA STAND YA MABUS MAGUFULI MBEZI.

mabasi yote yalazimishwe kuingia pale na yatoe tozo ya pale. stand imejengwa kwa garama kubwa na imetuheshimisha sana hata nje ya nchi halafu muitelekeze tena?
Hakuna basi lisiloingia pale linaanzia huko linakoanzoa linaingia pale ndipo linaendelea na safari. Hata kama alinatoka moshi linaenda shekilango, litapita njia ya goba liende magufuli kisha litoke ndipo liende shikilango.
 
with time patachangamka tu.
 
Basi utaratibu tuliokubaliana sasa hivi baada ya kuona taabu wanazopata abiria wa Kinondoni, Ilala, Kigamboni ni huo wa mabasi yalale mjini na kubeba au kushusha abiria lakini yapite stendi ya Magufuli. Ambao nao ni utaratibu mzuri tu!
 
Stand haitumiki kama ilivyokusudiwa, ungeenda hapo imepoa kabisa, hakuna business activities kabisa.
Kwani ilikusudiwa mabasi yalale hapo? Nafasi ingetosha? Siku moja nimetoka Sinza mpaka Mbezi stendi kwa pikipiki nilipata shida sana! Sasa hivi kwa vile mabasi yanaanzia safari Shekilango najipandia zangu mwendokasi kutoka nitokako mpaka hapo bila usumbufu wowote! Kusijekuwa ma mjinga tena wa kuyaondoa hayo mabasi hapo Shekilango
 
Decision ya Serikali sio chizi mkuu
Ni uchizi.serikali ni nani kama sio watu wanaotumia akili?sasa hao ni machizi.ubungo ilikuwa nicenter nzuri kwa abiria wa maeneo yote ya jiji.cha ajabu wameuza kwa wachina
 
Ni uchizi.serikali ni nani kama sio watu wanaotumia akili?sasa hao ni machizi.ubungo ilikuwa nicenter nzuri kwa abiria wa maeneo yote ya jiji.cha ajabu wameuza kwa wachina
Ni kweli kabisa, Wachina ndio walitakiwa wapewe huko Mbezi waweke hayo maduka yao ambako kila mwenye uhitaji na bidhaa ya Wachina lazima angeenda! Hapo Ubungo wangelipa fidia hata huko nyuma kuelekea simu2000 pakawekwa stendi moja matata!
 
😀Sema hii Nchi Uhuru Umezidi Sana.
 
Mbona utaratibu mzuri tu! Mabasi yote yanayoingia Dar na kutoka yanapita pale shida iko wapi? Ulitaka abiria wa Ubungo, Kinondoni, Ilala washukie Mbezi halafu waendeje makwao?
anataka wafanye kama Mkurugenzi wa Sumbawanga ambaye analazimisha abiria wote washuke porini stand ya Katumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…