TPP
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 650
- 783
Nimekuwa Tanzania kwa muda mrefu sasa nataka kutoa ushauri kwa serikali ya Tanzania na wananchi wa Tanzania.
Nchi ya Tanzania ina kabiliwa na umasikini mkubwa hali hii nimejifunza na kushuhudia sehemu kubwa ya Tanzania na hali hii kwa sasa inazidi kuathiriwa kwa kasi na tatizo la kuongezeka kwa wingi wa watu kuhusu tatizo la kazi hili ni la kidunia kwa sasa kutokana na mapinduzi makubwa ya sayansi na teknolojia.
Tanzania ni nchi masikini sana na ina matatizo mengi sana haya nimeweza kuona na kujifunza
Ushauri
Serikali ya Tanzania yapaswa kuanzisha sera ya population control ili kudhibiti ongezeko la watu lisilo endana na hali ya kiuchumi ya Tanzania kwani isipo fanya hivyo kuna madhara makubwa nchi ya Tanzania itapata kwa miaka mingi ijayo