Ushauri kwa Serikali ya Tanzania na watu wake

Ushauri kwa Serikali ya Tanzania na watu wake

Kweli kabisa. Tuna ardhi kubwa ya kutosha kuishi hata watu mil200 na ziada,rasilimali za kutosha n.k. viongozi ndio hakuna.
Tuna matapeli tupu, angalia Rais wa Zambia anatumia pickup na wakati huku DED ana V8
 
Halafu nchi inanunua magari ya gharama kuendesha shughuri za kuhudumia wananchi maskini. Tatizo ni ccm na utamaduni wake iliojiwekea wa kuwadumaza watu watanzania ili itawale milele.
Nnchi imejaa viongozi majangili tupu anasa
 
Mpumbavu mmoja wewe ! 945sq.km za Ardhi vs 60ml people na maliasili kibao halafu wasema upuuzi gani ? Tunahitaji utawala bora wa kidemocrasia na kuratibu uendelezaji wa mali asili tuu ! + elimu na afya watu wazalishe mali na sio kudhibiti population!
Ni mchina huyoo anakushauri kuhusu population control wakati kwao Kuna over 1B people

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom