hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 9,013
- 10,034
Leo nilikuwa na safari ya Dodoma, na ndugu yangu,
Sasa mimi nilikata tickets mapema, yeye alitaka kukata jana but since morning web Inaonesha treni iko full
Tulijaribu kupiga simu, walitujibu treni iko full
Ndugu yangu akapanda basi la usiku na mimi nikapanda treni ya leo asubuhi
Jambo la ajabu sasa ni kwamba treni ilikuwa tupu
Hakuna watu kabisa kwenye behewa letu,
Yani unaweza kukaa siti yoyote unaweza hata kucheza Mpira
Tren ilikuwa empty kabisa,
Sasa ombi langu Nadhani system yenu itakuwa na shida so muwe mnauza tu tickets hata kama mfumo utaonesha siti ziko full