Hi nchi haijawahi kufanikisha jambo lolote katika huduma labda kwenye kupromote Raisi kuchaguliwa tena........na mimi nilishaliona hilo we unafikiri hawajui hilo?Leo nilikuwa na safari ya dodoma, na ndugu yangu,
Sasa mimi nilikata tickets mapema, yeye alitaka kukata jana but since morning web Inaonesha tren iko full
Tulijaribu kupiga simu, walitujibu tren iko full
Ndugu yangu akapanda basi la usiku na mimi nikapanda tren ya leo asubuh
Jambo la ajabu sasa ni kwamba tren ilikuwa tupu
Hakuna watu kabisa kwenye behewa letu,
Yan unaweza kukaa siti yoyote unaweza hata kucheza Mpira
Tren ilikuwa empty kabisa,
Sasa ombi langu Nadhan system yenu itakuwa na shida so muwe mnauza tu tickets hata kama mfumo utaonesha siti ziko full
Hujuma hujuma hujuma hilo treni la SGR UWEZO WAKE WA KUVUTA MABEHEWA NI MKUBWA SANA WANAWEZA KUONGEZA MABEHEWA KWENYE SAFARI MOJA ILA kuna hujuma inafanywa na kundi la watanzania wenye asili ya Asia na waarabu kwa kushirikiana na viongozi wa serikali kwenye sgr kuzuia abiria kwa mbinu zozote na kuna fedha wanapewa ....siyo kwamba kuna abiria wa njiani ndiyo maana sit zipo waxmzi unakuta sit ipo wazi kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho wa safari dodoma sit zipo wazi ila kwenye mtandao wanakuambia siti zimejaa ...pia nadhani kuna eizi wa tiketi labda wanataka watu wakate tiketi kwa mfumo wanao weza kufuja pesa.Leo nilikuwa na safari ya dodoma, na ndugu yangu,
Sasa mimi nilikata tickets mapema, yeye alitaka kukata jana but since morning web Inaonesha tren iko full
Tulijaribu kupiga simu, walitujibu tren iko full
Ndugu yangu akapanda basi la usiku na mimi nikapanda tren ya leo asubuh
Jambo la ajabu sasa ni kwamba tren ilikuwa tupu
Hakuna watu kabisa kwenye behewa letu,
Yan unaweza kukaa siti yoyote unaweza hata kucheza Mpira
Tren ilikuwa empty kabisa,
Sasa ombi langu Nadhan system yenu itakuwa na shida so muwe mnauza tu tickets hata kama mfumo utaonesha siti ziko full
Wala system haikua na shida. Ila wengi tunaokata tiketi za treni, tunakua na emergencies na treni guwa ni second option tu.
Wewe hujazoea treni hilo.
Na huwa inatokea mara kibao. Tiketi za treni si watu wote wanakuja. Tena hata 60% .
Ushauri kwako sasa. Next time fika pale station wakati wa kuondoka watakupa siti. Ila kwa kupiga simu hutopata ng'ooo. Treni watu wanafanya booking kweli kweli. Na wapo wanaopandia morogoro kwenda tu kilosa. Au morogoro kuja dar ukiingia utaona kama tupu hyo ni next reason why t looks empty.
Kawaida boss, kwahiyo ulikua mwenyewe.Behewa letu was empty dar to dodoma