Ushauri Kwa Simba Sports Club

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Kwa ratiba mmeshapangiwa na inaonekana kuwa tight sana kwa nini msigawanye vikosi viwili?

Nadhani mna wachezaji wa kutosha na wenye uwezo, gawanyeni kikosi kimoja kinacheza huku kingine kule ili muwapunguzie wachezaji uchovu. Huo muda wa kusafiri kikosi husika kiutumie kwa mazoezi ya kufa mtu.

La sivyo, maeme kuwa hamna kikosi kipana kama mnavyotuambia...

Wale wazoefu ebu pendekezeni vikosi viwili vya Simba vitakavyokuwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…