Inaonekana zile noti zimeishia kwa mdhungu, sisi wapenzi wa SSC tunasema wapitishe bakuli haraka Sana tuchange note kwa ajili ya manzoki tu.Jaman s tumekubaliana M-BET amemwaga mafwedha wenyewe mnaita MADOLARI
Au mwamed kamuhonga BABURA
na je mh KINGWANOMICS ule mchango wake wa kuisaidia Simba umefikia wapi?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Manzoki kwanza, mdhungu baadaeMbet ameweka mzigo wa bilioni 26! Hiyo milioni 400 kitu gani bhana! Halafu mbona timu ina washambuliaji wa kutosha! Huyo Manzoki ni wa nini tena?
Kepteni John Bocco, Dejan Mzungu, Habib Kyombo, Moses Phiri, Kibu Denis! Hawa wote ni washambuliaji hatari kabisa. Bado kuna mafundi wa kuwapikia magoli; Okrah, Okwa, Chama, Sakho, Mzamiru, Banda, na wengineo wengi!
Mashabiki mnataka nini tena!!