Ushauri kwa SSC, Tuchangisheni wapenzi wa SSC tumnunue Manzoki

Ushauri kwa SSC, Tuchangisheni wapenzi wa SSC tumnunue Manzoki

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Million 400 kitu gani kwa wanamsimbazi kindakindaki?

SSC tunahitaji striker anayejua soka la kiafrica kiundani, Manzoki ni mshambuliaji anayestahil kucheza SSC bila kupepesa macho

Tunajua yakuwa badget ya Simba ni ndogo ila viongozi wetu nawashaur mtushirikishe wenye mapenzi mema na club yetu pendwa SSC ( club pekee ya kimataifa hapa nchini) ili tukung' ute mifuko tuchange note ya kumleta Manzoki mara moja, mzungu atabaki au laah hilo halinihusuView attachment 2323529
 
Teh sema nyie mashabiki wa miaka hii niwamwendokasi sana...kwamba tuchange?
Yap, naona hela imesuasua Sana, tumeletewa mzungu ambaye hajui falsafa ya African football

Manzoki anastahili kuwa mwanamsimbazi kwa vyovyote vile
 
Mbet ameweka mzigo wa bilioni 26! Hiyo milioni 400 kitu gani bhana! Halafu mbona timu ina washambuliaji wa kutosha! Huyo Manzoki ni wa nini tena?

Kepteni John Bocco, Dejan Mzungu, Habib Kyombo, Moses Phiri, Kibu Denis! Hawa wote ni washambuliaji hatari kabisa. Bado kuna mafundi wa kuwapikia magoli; Okrah, Okwa, Chama, Sakho, Mzamiru, Banda, na wengineo wengi!

Mashabiki mnataka nini tena!!
 
Jaman s tumekubaliana M-BET amemwaga mafwedha wenyewe mnaita MADOLARI

Au mwamed kamuhonga BABURA

na je mh KINGWANOMICS ule mchango wake wa kuisaidia Simba umefikia wapi?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Inaonekana zile noti zimeishia kwa mdhungu, sisi wapenzi wa SSC tunasema wapitishe bakuli haraka Sana tuchange note kwa ajili ya manzoki tu.

Manzoki wetu, mdhungu wao
 
Mbet ameweka mzigo wa bilioni 26! Hiyo milioni 400 kitu gani bhana! Halafu mbona timu ina washambuliaji wa kutosha! Huyo Manzoki ni wa nini tena?

Kepteni John Bocco, Dejan Mzungu, Habib Kyombo, Moses Phiri, Kibu Denis! Hawa wote ni washambuliaji hatari kabisa. Bado kuna mafundi wa kuwapikia magoli; Okrah, Okwa, Chama, Sakho, Mzamiru, Banda, na wengineo wengi!

Mashabiki mnataka nini tena!!
Manzoki kwanza, mdhungu baadae

Match ya Jana kama tungekuwa na striker mwenye kariba ya manzoki, first half mtan tulikuwa tumemaliza match
 
Back
Top Bottom