K KAKA NASOKI Senior Member Joined May 25, 2016 Posts 191 Reaction score 212 May 5, 2022 #1 Katika matangazo yenu mnaonyesha lile ziwa lililoko nadhani Mbeya, lenye umbo la ramani ya Tanzania, ila mwonekano wake haujidhirishi kwani picha imepigwa mtu akiwa ardhini, nawashauri mpige hiyo picha upya kwa kutumia drone
Katika matangazo yenu mnaonyesha lile ziwa lililoko nadhani Mbeya, lenye umbo la ramani ya Tanzania, ila mwonekano wake haujidhirishi kwani picha imepigwa mtu akiwa ardhini, nawashauri mpige hiyo picha upya kwa kutumia drone
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 May 5, 2022 #2 Futuhiiiiiii