Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Tiba ni kujaribu kuwa na wigo mpana wa kuwapata na kuwaandaa wachezaji , kwa vile ni lazima kwa kila mtoto apate elimu ya msingi na kwa kuzingatia ndiyo kipindi cha ukuaji,na ndicho kipindi cha kujengewa misingi.Pesa pesa pesa pesa mamaeeeee
Pamoja na changamoto lukuki zinazoikabili sekta ya michezo Nchini, tutumie rasilimali zilizopo kupata matokeo. Naimani pakiwa na mpango kazi wa muda mfupi ,kati na tafiti za Kisayansi za kutafuta majawabu ambayo si ya kufikirika tokana na changamoto ambazo zinatukabili, at least tutasogea hatua kadhaa mbele kupata wanamichezo wenye sifa na ari ya kupata mafanikio