Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Tiba ni kujaribu kuwa na wigo mpana wa kuwapata na kuwaandaa wachezaji , kwa vile ni lazima kwa kila mtoto apate elimu ya msingi na kwa kuzingatia ndiyo kipindi cha ukuaji,na ndicho kipindi cha kujengewa misingi.Pesa pesa pesa pesa mamaeeeee
Hiyo bodi ya ligi inanuka rushwa, ratiba zinapangwa kama watu wanazozipanga hata darasa la 7 hawajafika, haiwezekan timu 1 msimu unaelekea kuisha hazijakutana, mfano Namungo vs Simba, yaan hii bodi ya ligi na TFF ni kituko!TFF na Ligi Kuu ihakikishe mgawanyo sawa wa mechi zitakazo oneshwa kwa vilabu vyote shiriki. Watakaochukua haki za matangazo wahakikishe wanajizatiti kwa kuongeza channeli zao kuwezesha kutoa fursa za uchaguzi wa mechi ya kuangalia mubashara.
Hahaha! Hili linayomaajabu aiseeHiyo bodi ya ligi inanuka rushwa, ratiba zinapangwa kama watu wanazozipanga hata darasa la 7 hawajafika, haiwezekan timu 1 msimu unaelekea kuisha hazijakutana, mfano Namungo vs Simba, yaan hii bodi ya ligi na TFF ni kituko!
Haijawah tokea ligi zote dunian, only vpl! Kituko yanHahaha! Hili linayomaajabu aisee