Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Habari Wana JF
Baada ya mechi hii kuisha ....board ya wahariri/ wachambuzi mahiri na mabingwa wa kuchambua soka Africa (UWABATA)
Tumekuja na uamuzi wa kukishauri chombo chetu Bora cha mpira hapa Tanzania.......kuongeza "kipande cha goli la feitoto kwenye filamu yetu pendwa ya "ROYAL TOUR" tunaamini watalii wataongezeka zaidi nchini Tanzania
Pia Kama wewe ni mdau wa maendeleo nchini hapa najua utakubaliana na Jambo hili
Je! ushauri wako ni upi?