Ushauri kwa TFF: Goli la Feitoto liongezwe kwenye filamu ya royal tour

Ushauri kwa TFF: Goli la Feitoto liongezwe kwenye filamu ya royal tour

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Habari Wana JF

Baada ya mechi hii kuisha ....board ya wahariri/ wachambuzi mahiri na mabingwa wa kuchambua soka Africa (UWABATA)

Tumekuja na uamuzi wa kukishauri chombo chetu Bora cha mpira hapa Tanzania.......kuongeza "kipande cha goli la feitoto kwenye filamu yetu pendwa ya "ROYAL TOUR" tunaamini watalii wataongezeka zaidi nchini Tanzania

Pia Kama wewe ni mdau wa maendeleo nchini hapa najua utakubaliana na Jambo hili

Je! ushauri wako ni upi?
FB_IMG_16537514242570010.jpg
 
Toa ushauri ...tujenge nchi. Yetu
Kama suala la kujenga nchi basi ngoja nipambe kwanza. Mama anaupiga mwingi, mitano tena, royal tour for development, chifu hangaya juu juu zaidi, Ccm hoyeeee.

Turudi kwenye mada, siwezi kushauri upuuzi Kama huo utekelezwe maana magoli Kama hayo alifunga kipenseli yakutosha kabla hajapigwa misumali. Hata kwenye ligi inayoelekea ukingoni yapo mengi tu hata ndani ya Yanga.
 
Unazani kwa nn hili goal litakuwa gumzo.......kuliko Lile la AMBUNDO?
 
Back
Top Bottom