Kama suala la kujenga nchi basi ngoja nipambe kwanza. Mama anaupiga mwingi, mitano tena, royal tour for development, chifu hangaya juu juu zaidi, Ccm hoyeeee.Toa ushauri ...tujenge nchi. Yetu
Unazani kwa nn hili goal litakuwa gumzo.......kuliko Lile la AMBUNDO?Kama suala la kujenga nchi basi ngoja nipambe kwanza. Mama anaupiga mwingi, mitano tena, royal tour for development, chifu hangaya juu juu zaidi, Ccm hoyeeee.
Turudi kwenye mada, siwezi kushauri upuuzi Kama huo utekelezwe maana magoli Kama hayo alifunga kipenseli yakutosha kabla hajapigwa misumali. Hata kwenye ligi inayoelekea ukingoni yapo mengi tu hata ndani ya Yanga.
Mayele huyu anayerukaruka uwanjani?Yale mbona Mayele amefunga mengi Sana mkuu
Kwasababu kawapiga mabingwa watetezi na mtaniUnazani kwa nn hili goal litakuwa gumzo.......kuliko Lile la AMBUNDO?
Kagere na bocco walipokuwa kwenye prime time zao utawafananisha na mayele?Kuliko mugalu.....Boko......kibu......kagere?