Nikiri wazi kuwa mimi ni shabiki na mpenzi wa Timu ya Dar Young Africans. Jana nimeshuhudia timu ya Yanga ikicheza dhidi ya timu ya Mbao.
Niishauri Timu ya Yanga kuwa mchezo waliouonyesha jana bado kabisa. Tafuteni wachezaji wenye uwezo kimpira kuliko vijana mlio nao sasa hivi. Majirani zenu Simba na Azam wana wachezaji wazuri na wanafanya vyema uwanjani.
Kwa mchezo ule wa jana watakapokutana na Pyramids basi tutazungumza mengine. Sajili vijana wenye uwezo acheni kuokota wachezaji kwa majina mfano Ngassa kiwango chake kimeshuka sana na umri pia umeenda.
Bado nazidi kusema mimi ni shabiki mkubwa wa Yanga nashauri tena imarisheni timu yetu.