Ushauri kwa timu yangu ya Simba

Ushauri kwa timu yangu ya Simba

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Tarehe 16 timu ya Simba inacheza mchezo wa marudiano na timu ya El Merreikh ya Sudan. Tofauti na michezo iliyopita iliyochezwa kwa Mkapa,mechi hii itachezwa bila washangiliaji.

Katika kuamsha hamasa kwa wachezaji, nashauri viongozi wa Simba wanaohusika na hamasa wakusanye yale mabango ya vitambaa yanayotambulisha matawi na kwenda kuyafunga kwenye majukwaa ndani ya uwanja wa Mkapa.

Hii, kwa mtazamo wangu inaweza kusaidia kuongeza morali kwa wachezaji.

Ahsante
 
Tarehe 16 timu ya Simba inacheza mchezo wa marudiano na timu ya El Merreikh ya Sudan. Tofauti na michezo iliyopita iliyochezwa kwa Mkapa,mechi hii itachezwa bila washangiliaji...
Moja ya idea nzuri.
 
Mode mme edit kichwa cha habari na kuharibu..tafadhali ni Timu kama nilivyokuwa nimeandika..sio Simu.
 
Tarehe 16 timu ya Simba inacheza mchezo wa marudiano na timu ya El Merreikh ya Sudan. Tofauti na michezo iliyopita iliyochezwa kwa Mkapa,mechi hii itachezwa bila washangiliaji.

Katika kuamsha hamasa kwa wachezaji, nashauri viongozi wa Simba wanaohusoka na hamasa wakusanye yale mabango ya vitambaa yanayotambulisha matawi na kwenda kuyafunga kwenye majukwaa ndani ya uwanja wa Mkapa.

Hii, kwa mtazamo wangu inaweza kusaidia kuongeza morali kwa wachezaji.

Ahsante

Hiyo hairuhusiwi boss, mabango yanayotakiwa kuonekana uwanjani ni yale yaliyokubaliwa na CAF pekee ambayo ni ya wadhamini!

Kama wewe ni mfuatiliiaji hebu niambia kama ulishawahi kuona mabango ya vitambaa yanayotambulisha matawi uwanjani kwenye hizi mechi za CAF Champion, huwa kiutaratibu hayaruhusiwi!
Huyafunga lakini mechi inavyoanza hutakiwa kuyafungua!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Hofu imeshawajaa tayari! Mbaya zaidi ile rufaa yenu ya kutaka point za bure, nayo haija jibiwa!! Mshambuliaji mwenyewe mnaye mtegemea ni Chris Mugallu a.k.a Sarpong part 2!!

Kazi ipo.
 
Tarehe 16 timu ya Simba inacheza mchezo wa marudiano na timu ya El Merreikh ya Sudan. Tofauti na michezo iliyopita iliyochezwa kwa Mkapa,mechi hii itachezwa bila washangiliaji.

Katika kuamsha hamasa kwa wachezaji, nashauri viongozi wa Simba wanaohusika na hamasa wakusanye yale mabango ya vitambaa yanayotambulisha matawi na kwenda kuyafunga kwenye majukwaa ndani ya uwanja wa Mkapa.

Hii, kwa mtazamo wangu inaweza kusaidia kuongeza morali kwa wachezaji.

Ahsante
La maana hapa ni kuweka Big screens uwanja wa uhuru kiingilio Mo Energy tukachekie mechi jilani pale kelele zake watajua hawajui.
 
Hofu imeshawajaa tayari! Mbaya zaidi ile rufaa yenu ya kutaka point za bure, nayo haija jibiwa!! Mshambuliaji mwenyewe mnaye mtegemea ni Chris Mugallu a.k.a Sarpong part 2!!

Kazi ipo.
...Washajibiwa mkuu. Ni kwamba kiufupi mikia FC walikurupuka..Wale wachezaji wamefungiwa tuu kucheza ligi ya ndani ya Sudan, Ila international games ruksaaaaa.
Walidanganyana mnooooo jamaa zetu
 
Back
Top Bottom