Moja ya idea nzuri.Tarehe 16 timu ya Simba inacheza mchezo wa marudiano na timu ya El Merreikh ya Sudan. Tofauti na michezo iliyopita iliyochezwa kwa Mkapa,mechi hii itachezwa bila washangiliaji...
Tarehe 16 timu ya Simba inacheza mchezo wa marudiano na timu ya El Merreikh ya Sudan. Tofauti na michezo iliyopita iliyochezwa kwa Mkapa,mechi hii itachezwa bila washangiliaji.
Katika kuamsha hamasa kwa wachezaji, nashauri viongozi wa Simba wanaohusoka na hamasa wakusanye yale mabango ya vitambaa yanayotambulisha matawi na kwenda kuyafunga kwenye majukwaa ndani ya uwanja wa Mkapa.
Hii, kwa mtazamo wangu inaweza kusaidia kuongeza morali kwa wachezaji.
Ahsante
La maana hapa ni kuweka Big screens uwanja wa uhuru kiingilio Mo Energy tukachekie mechi jilani pale kelele zake watajua hawajui.Tarehe 16 timu ya Simba inacheza mchezo wa marudiano na timu ya El Merreikh ya Sudan. Tofauti na michezo iliyopita iliyochezwa kwa Mkapa,mechi hii itachezwa bila washangiliaji.
Katika kuamsha hamasa kwa wachezaji, nashauri viongozi wa Simba wanaohusika na hamasa wakusanye yale mabango ya vitambaa yanayotambulisha matawi na kwenda kuyafunga kwenye majukwaa ndani ya uwanja wa Mkapa.
Hii, kwa mtazamo wangu inaweza kusaidia kuongeza morali kwa wachezaji.
Ahsante
...Washajibiwa mkuu. Ni kwamba kiufupi mikia FC walikurupuka..Wale wachezaji wamefungiwa tuu kucheza ligi ya ndani ya Sudan, Ila international games ruksaaaaa.Hofu imeshawajaa tayari! Mbaya zaidi ile rufaa yenu ya kutaka point za bure, nayo haija jibiwa!! Mshambuliaji mwenyewe mnaye mtegemea ni Chris Mugallu a.k.a Sarpong part 2!!
Kazi ipo.