Ushauri Kwa timu yangu Yanga baada ya kipigo kutoka Dodoma Jiji

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza

1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin

2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali

3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine

4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker

5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up

6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue

Mwisho
Tumepata funzo

Yanga bingwa
 
Ila Kwa Leo amezingua big time
Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker

5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up

6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue

Mwisho
Tumepata funzo

Yanga bingwa
Mwamnyeto kakera sana leo.
 
Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza

1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin

2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali

3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine

4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker

5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up

6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue

Mwisho
Tumepata funzo

Yanga bingwa
Diara mmemuharibu wenyewe kumchangia faini kwa mqmkosa yake ya kijinga mnavuna mlichopanda.
 
1778704168440.jpg
 
Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza

1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin

2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali

3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine

4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker

5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up

6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue

Mwisho
Tumepata funzo

Yanga bingwa
Mimi Diara wanayanga mkiendelea kunisema na kunisamanga nitawaonyesha dole la kati na faini mtalipa kudadadeki zenu.
 
Ila mwaka Yanga... Sijui..! Unaweza kuwa mwaka wa taabu historia ikajirudia
 
Ila kocha Naye aache kukariri. Hizi mechi ndogondogo awe anampa Frank Asinki. Ule upumbavu aliofanya Mwamnyeto asingefanya. Pia golini kijana Mshery anatakiwa aaminiwe! Hizi mechi zilizobaki Diarra aziangalizie kwenye runinga!
 
Shida nini?
Kufungwa?
Unapoteza mechi moja tu lawama kibao!!

Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza

1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin

2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali

3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine

4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker

5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up

6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue

Mwisho
Tumepata funzo

Yanga bingwa
 
Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza

1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin

2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali

3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine

4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker

5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up

6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue

Mwisho
Tumepata funzo

Yanga bingwa
Kwa nini hamkuwatembezea Dodoma jiji bahasha kama kawaida yetu?
Namshauri Side avunje kamati yetu ya vigagula fasta.
Tutafungwaje na vitimu Uchwara baana. Aaaah
 
Tatizo la bongo huwa wanaangalia au kufuatilia mechi za Simba na Yanga tu. Huyo Dube alikuwa anakosa magoli kinoma huko Azam. Kuna msimu alimaliza na goli 1
 
Back
Top Bottom