3 -2Wamefungwa ngapi?
Mwamnyeto kakera sana leo.Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza
1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin
2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali
3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine
4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time
Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker
5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up
6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue
Mwisho
Tumepata funzo
Yanga bingwa
😅😅😅😅3 -2
Diara mmemuharibu wenyewe kumchangia faini kwa mqmkosa yake ya kijinga mnavuna mlichopanda.Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza
1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin
2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali
3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine
4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker
5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up
6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue
Mwisho
Tumepata funzo
Yanga bingwa
Mimi Diara wanayanga mkiendelea kunisema na kunisamanga nitawaonyesha dole la kati na faini mtalipa kudadadeki zenu.Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza
1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin
2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali
3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine
4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker
5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up
6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue
Mwisho
Tumepata funzo
Yanga bingwa
Mchambuzi AnakujaWamefungwa ngapi?
Mwaka jana ilikua Simba ashinde moja tu awe bingwa lkn wapi, mwaka huu anaombea Yanga afungwe pasipo yeye kutoa hata sare kipi rahisi?Ila mwaka Yanga... Sijui..! Unaweza kuwa mwaka wa taabu historia ikajirudia
Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza
1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin
2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali
3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine
4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker
5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up
6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue
Mwisho
Tumepata funzo
Yanga bingwa
Kwa nini hamkuwatembezea Dodoma jiji bahasha kama kawaida yetu?Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football