Ile mechi tukubali ilikuwa siyo ya Yanga kufungwa. Kuna wakati sijui ni kwa nini, ila ninatamani kuamini kama baadhi ya wachezaji walicheza kwa maelekezo ili mdhamini wa Kampuni yao ya kubashiri avune pesa!Kufungwa ni Moja ya tukio muhimu katika football
Ndo maana watu wengi duniani hupenda mchezo huu Kwa kuwa hautabiliki na mara nyingi Huwa na matokeo ya kushangaza
1. Viongozi msimpe lawama yoyote coach Moalin
2. Diara anataka kujifanya kuwa mkubwa kuliko team
Kitendo cha kususa na kujitoa uwanjani ni upumbavu usiovumilika,
Viongozi wakigundua Diarra aliamua kutoka uwanjani bila majeraha, apewe adhabu Kali
3. Mwamnyeto
Alikuwa na siku mbaya mchezoni au kauza mechi, hilo anajua mwenyewe
Na kusema ukweli Mwamnyeto ni Defender wa hali ya chini
Viongozi angalieni uwezekano wa kupata beki mwingine
4 Dube
Nimekuwa mtetezi mkubwa wa Dube mbali na kuwa hafungu sana ila ana runnings nyingi nzuri
Ila Kwa Leo amezingua big time Striker anapokesa nafasi zaidi ya 6 anakata morali ya wachezaji wenzake
Eng Hersi tuletee striker
5 Max
Huyu nae ni mzuralaji tu,
Anahitaji back up
6 Ibrahim Bacca
Leo hajaonekana ndo maana ikawa rahisi ku expose makosa ya Mwamnyeto.
Nadhani ana fatigue
Mwisho
Tumepata funzo
Yanga bingwa
Kwanini sisi hatujifunzi kwa Dodoma kuto kupokea bahasha? mara sita mfururizo zote tunapokea, hata juzi tumeongoza mbili bila baadae tukapokea bahashaKwa nini hamkuwatembezea Dodoma jiji bahasha kama kawaida yetu?
Namshauri Side avunje kamati yetu ya vigagula fasta.
Tutafungwaje na vitimu Uchwara baana. Aaaah
Ushoga tena? Makubwaaa!! Kwani umesahau Kabwili? Huenda kamrithisha Diarra, na anavyopenda kudeka, kuringa vile, LolYah Leo amezingua
Ni usenge mchezaji professional kuzila kufanya kazi yake, hizo ni tabia za kishoga
[emoji23][emoji23][emoji23] mlokolee
[emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo la bongo huwa wanaangalia au kufuatilia mechi za Simba na Yanga tu. Huyo Dube alikuwa anakosa magoli kinoma huko Azam. Kuna msimu alimaliza na goli 1
Kwa kwelii.Yule kocha wenu ni tapeli tu. Kama alishindwa Azam, timu isiyokuwa na presha na KMC itaiweza Yanga?
Ni mzuri akiwa msaidizi na si vinginevyo.
Mwamnyeto sio kwamba ana siku mbaya kazini, kile ndo kiwango chake... Ushindi na matokeo ya timu kwa ujumla humfichia madhaifu yake.