Wewe huwa unaunga kila kitu.Hata utopolo.Naunga mkono hoja.
Wakosoaji wanalipwa na nani??Dr Slaa kapoteza hadhi yake na utu wake kwa sababu ya tumbo lake.
Aliona akikosoa kistaarabu kama kina kardinal Pengo, mzee Warioba na Tibaijuka hatolipwa hela nyingi.
Hata judges wanakula mshahara wa 80% baada ya kustaafu.Vyeo vyenye hasara kuvuliwa ni cheo cha kuwa Rais Mstaafu,. Kwa sababu utashtakiwa kwa makosa uliofanya ukiwa madarakani, na vyeo vile vya kuendelea kula 80% ya incumbent na benefits kibao hata baada ya kustaafu.Cheo kingine chochote hakina thamani baada ya kuacha majukumu. Hakina maana.
Hata judges wanakula mshahara wa 80% baada ya kustaafu.
Wote, Babu yangu alikuwa judge!!Majaji wote au ni CJ?