Pre GE2025 Ushauri kwa Tundu Lissu: Omba ulinzi kabla ya kuendelea na michakato

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu aachane na hizo ziara zake kwa muda. CCM watampuruta tena na marisasi halafu wamsingizie Mbowe
Hata akiacha ziara zote atatafutwa tu as long as bado anajifanya kugombania nafasi ya uongozi wa chama ambayo imeshamilikiwa na mtu mmoja. Option ni tatu tu hapo

1. Agombee akiwa na ulinzi.
2. Aache kugombea ili asalimike
3. Au aanzishe chama chake na kama anataka huo uongozi aongoze huko kwa chama chake.

Vinginevyo bado ataendelea kuwa target ndan na nje ya chama. Hela alizosema zinamwagwa katika uchaguzi wa chama unafikiri zinatoka wapi na zimefikaje fikaje kwa viongozi wa chama kama hakuna mkono wa mtu mkubwa ndani ya chama anaefanya hivyo?
 
Huwa mnapata wapi muda wa kuandika ujinga mrefu namna hii?

Au posho ni kubwa sana?
 
Huwa mnapata wapi muda wa kuandika ujinga mrefu namna hii?

Au posho ni kubwa sana?
Ushauri ni wa Lisu mkuu, wewe umeusoma wa nini?

Alaf ni yeye ndo alitakiwa aniulize sio wewe ambae haukuandikiwa.
 
Inakuhusu nini? Mbona nyie ccm mnauza nchi , fuata yenu ya kiccm huko , ya chadema waachiwe wenyewe
 
We andaa nguo chafu za kutosha. Povu utalipata hapahapa kwa chawa wa Mbowe.
 
Inakuhusu nini? Mbona nyie ccm mnauza nchi , fuata yenu ya kiccm huko , ya chadema waachiwe wenyewe
Duh hili povu sio la kufulia mashati tu peke yake. Hata gari yang nitalitumia kuoshea. Asante kwa povu la bure mkuu 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…