Ushauri kwa uongozi wa Morocco Square

Ushauri kwa uongozi wa Morocco Square

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Kupitia kipindi cha ITV ya saa 3.10 jana nilishuhudia promotion ya Morocco Square. Kwanzza hongereni sana kwa Mradi ulivyo mzuri na karibu una kila kitu anachohitaji mwanadamu kwa maisha yake ya kila siku.

Pamoja na uzuri wa mradi huo kuna kitu mnatakiwa mnapobuni miradi kama ulivyo wa Morocco Square ni kuweka kituo kidogo cha huduma ya Afya.

Pale kuna watu wengi na wengi wanaishi eneo hilo na inawezekana mtu kaugua ghafla usiku ni vema akapata huduma ya afya kabla hajapata rufaa.

Nashauri mlifikirie hilo.
 
Madaktari ndo hao wanabaniwa kufanya kazi kisa mtihani wa mchongo.
 
Back
Top Bottom