Gan star
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 379
- 982
Tumeshuhudia Urusi ikiivamia Ukraine kijeshi , uvamizi huu ulikuwa na lengo la kuiweka Ukraine chini ya himaya ya Urusi ikiwa ni pamoja na kusimika utawala mpya ( Full scale millitary invasion), na hvyo kufagilia mbali malengo ya NATO pamoja na wahuni wa US kujibanza pale.
Mambo hayajaenda vizur Kwa Warusi tunaoaminishwa ni taifa Bora kijeshi , mpak sasa majeshi ya Urusi yanazidi kuukimbia mji wa Kiyv..
Sitaki kuongea mengi hapo mana kila mmoja anajua what is real going on.
Kinachoshangaza ni kauli za Urusi kuishutumu NATO na hasa Marekani , kana kwamba pale Ukraine haendi kupigana na Ukraine Bali USA, washabiki wa Urusi walienda mbali zaid kuitaka marekani iingie vitani , ( kichekesho cha Karne) ...Zaid ya hayo ni ukweli usiopingika USA ndo aliyeanzisha propaganda za kuuvunja muungano wa kisoviet na akafaulu
Sio mara ya Kwanza US kuzifanyia choko choko baadhi ya nchi , kuna mataifa ambayo Marekani hawezi kuyavamia kichwa kichwa Ila huwa anayafanyia timing yanaingia mkenge na kuyamaliza kisayansi , kuna mengine huwa anayavamia , kuna mengine huwa ana-fail na mengine anafaulu, hata hvyo success rate ni 70-80% , hata yale ambayo huwa anashindwa basi ni yale yasiyo na athari kubwa kwenye Sera zake e.g Afghanistan & North Vietnam,
Waswahili wanasema Huwezi kuangamiza mchwa kama hutaweza kumuangamiza malkia mana ndo anazalisha mchwa kama Huwezi kudhibiti chanzo cha tatizo Huwezi kulitatua tatizo...
Kati Kati ya Karne ya 19 , Japan ilianza kujitanua kiuchumi, kisiasa na kijeshi ... Katika kutafuta malighafi option iliyokuwepo ni kukwapua makoloni , Japan ikaivamia China , na baadhi ya visiwa vya Pacific ( Southern Pacific).. Marekani ikaanza kumfanyia chokochoko , mara kuwekewa vikwazo , huku marekani yeye akiendelea kuneemeka na makoloni .....
Japan akaona tatizo kubwa ni US, kiasi kwamba ukimpiga US , hawa wengine wadogo wadogo hawatakuwa na nguvu , lakini ukiwapiga hawa wadogo huku US akiwa alive , utasumbuka Sana , na utakuwa hujatatua tatizo ....
Isoroku Yamamoto Admiral of the Imperial Japanese Navy and the commander-in-chief of the Combined Fleet ( Highest millitary officer ) alitahadharisha kuwa Japan haiwez kustand for long against US forces , na aliplan inabd wawe offensive ndani ya miezi 6 , na ndani ya miez hyo wawe tayar wameiforce Marekani kuingia kwenye makubaliano , vita ikienda Zaid ya mwaka mmoja Japan haitakuwa na chance ya kuwin , mana Marekani atakuwa ameswitch all her might industrial power toward the war.
Plan iliyokuwepo ni kushambulia Kwa kushtukiza na ku-nock out kituo kikubwa cha kijeshi Central Pacific kwenye kisiwa cha Hawaii ( Pearl harbor) part of USA territory, Yamamoto alijua kabisa kituo hiki kikianguka , marekani hatakuwa na uwezo wa kutawala eneo la kusini mwa Pacific Kwa zaidi ya mwaka mmoja , istoshe by that time kulikuwa hamna long range millitary aircraft za kutokea USA direct to hit Japan ...lazima utumie aircraft carrier ili zikusogeze karbu kuweza kufanya mashambulizi ambazo nyingi zilikuwepo Hawaii kwenye kituo cha kijeshi ...
Note: Aircraft Carrier ni meli za kivita zenye uwezo wa kubeba ndege za kivita hasa kwenye eneo Pana la bahari
WW2 Aircraft carrier USS Lexington
Japan pia alijua akifanikisha , itamchukua mwaka mzima Marekani kujipanga upya , na hvyo yeye Japan atakuwa amejitanua vya kutosha , na hii itawalazimu US kuingia kwenye mapatano... Chini ya mastermind Admiral Isoroku Yamamoto mipango na mikakati hii ilikuwa well organized na ingeleta tija kama ingeenda viral 😊
Ni kweli shambulio la Pearl harbor December 1941 lilifanikiwa ( excellent ambush ) cha kushangaza na chenye kuleta maswali mengi ni kuwa japo lilikuwa ni shambulizi la kushtukiza US aircraft carrier zote hazikuwepo kwenye base mda wa shambulio , ( Aircraft Carrier zilikuwa meli mhimu mno kwenye medani ya kivita kipindi cha WW2 , hasa Pacific theatre) kushindwa kuzizamisha hizi ilikuwa mistake kubwa mno Kwa Japan ....
Baada ya shambulio Isoroku Yamamoto alisema "I fear all we have done is to awaken a sleeping giant and fill him with a terrible resolve." Na show ikaanza, Marekani akatangaza vita na Japan , iliyodumu Kwa miaka takriban 5 huku Japan ikishindwa vitani ....!!!
Yamamoto alikufa mwaka April 1943 , wakati ndege yake ya kijeshi Aina ya Mitsubishi Betty Bomber ilipoangushwa na ndege za kimarekani kwenye msako uliojulikana kama " Operations Vergence"
Hvyo hvyo kama Russia anaona Marekani ndo chanzo cha matatizo yote amshambulie tu moja Kwa moja , wapigane ijulikane Nani mbabe .....
Kama amekuvunjia umoja wako na bado anakusogelea kimafia , ya nn kuhangaika na nchi kama Ukraine....!!! Ni upuuzi kufkri US atapeleka majeshi kupigana na urusi kule Ukraine , Kwa maslahi yapi ,? Sana sana utampa mwanya wa kukuletea mamluki , upambane nao ,huku yeye akitoa advise , na akikuamulia lazima ushindwe...!
Marekani kwenye hzi show za unafiki ni mzoefu since day one