Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Sikia kijana; usiwe na mawazo mgando kama wale walioshindwa!Hamna biashara ya kuku shauri mkuu. Hao wanao kushauri uingie kwenye chakula kwa mtaji wa laki 5, ni fine mbili au tatu tu za USAFI WA JIJI/CHAKULA (Jamaa Wa Afya) inakula kwako. Wanazunguka hao kukagua VIBANDA UMIZA (Mama Ntilie) vya misosi, we sikia tu.[emoji18]
Biashara ya chakula sio lazima iwe ya mama ntilie, anaweza kufanya biashara ya kusambaza chakula kwenye ofisi za watu binafsi, mashuleni n.k.